Wolper Akibambiwa na Papii Kocha Ukumbi wa King Solomon
Mar 11, 2018
  • 8,773
  • 25
  • 3


Waimbaji Papii Kocha na baba yake mzazi Nguza Viking maarufu kama Babu Seya usiku wa March 10 2018 katika ukumbi wa King Solomon Dar es Salaam walikata kiu ya miaka 13 ya mashabiki wa muziki wao kukosa kuona show yao.