Usiku wa Vikings Waibua Mazito Wema, Aunt, Wolper!
Mar 11, 2018
  • 35,685
  • 113
  • 20


Usiku wa Vikings Waibua Mazito Wema, Aunt, Wolper!

Usiku wa Vikings ni usiku ambao ulihudhuriwa na mastaa wengi ambao walifika kutoa sapoti na kupata burudani iliyoshiba kutoka kwa wakongwe wa muziki, Babu Seya pamoja na mwanae, Papii Kocha.

Mambo huko yalikuwa ni moto ambapo kila staa aliyetinga ukumbini hapo alitinga na staili tofauti ya mavazi, miongoni mwa mastaa hao ni pamoja na Malkia wawili wa Bongo Muvi, Wema Sepetu na Jacquline Wolper, huku mwanamitindo Faiza Ally nae hakuachwa nyumba alitinga na mavazi yake yenye rangi ya kijani iliyomfanya anga're zaidi.

Install #GlobalPublishersApp Android: http://bit.ly/2AAQe1d iOS: http://apple.co/2Assf4M Subscribe http://www.youtube.com/c/uwazi FACEBOOK: https://www.facebook.com/Globalpublis...

TWITTER: https://twitter.com/GlobalHabari Visit https://globalpublishers.co.tz/, Subscribe http://www.youtube.com/c/uwazi1

kupata video nyingine za aina hii, subscribe kwenye chanell yetu kwa kubofya… http://www.youtube.com/c/uwazi1 http://www.youtube.com/c/uwazi1 http://www.youtube.com/c/uwazi1 WEBSITE: https://globalpublishers.co.tz/ FACEBOOK: https://www.facebook.com/Globalpublis... TWITTER: https://twitter.com/GlobalHabari INSTAGRAM: https://www.instagram.com/globalpubli..
Category
News & Politics
License
Standard YouTube License