'Sijatoa Mimba, Diamond namkubali tu' Tunda
Nov 18, 2017
  • 231,426
  • 970
  • 66


Video Queen maarufu wa Bongo Tunda amezungumza kuhusu yale maneno yaliyosambaa kwamba yeye ni Mjamzito huku akidaiwa kutoka kimapenzi na Diamond Platnumz baada ya kuweka picha ya staa huyo kama profile picha yake.