Shoo ya PAPII kwa Wabunge, Mawaziri, Acha Kabisa!
Jan 8, 2018
  • 154,271
  • 493
  • 83


Please watch: "Okwi na Boko Walivyoichakaza Majimaji FC, SIMBA 4-0 MAJIMAJI"
https://www.youtube.com/watch?v=8gFukjZ_hoY --~--
https://www.youtube.com/c/KidaniStars
ACHA KABISA! Kwa mara ya kwanza tangu atoke jela, msanii mahiri wa muziki wa Dansi, Johnson Nguza ‘Papii Kocha’ hivi karibuni aliacha gumzo baada ya kufanya shoo ya aina yake huku akiwadatisha mawaziri, wabunge.ILIKUWA HIVI

Chanzo makini kilichokuwa kwenye tukio hilo kilieleza kuwa, Papii alifanya shoo hiyo Jumamosi iliyopita katika sherehe ya harusi ya Katibu Tawala wa Wilaya ya Iringa (DAS), Joseph Chitinka iliyofanyika kwenye Ukumbi wa Mbezi Garden jijini Dar.Kiliendelea kusimulia kuwa, harusi hiyo ilikuwa ni ya aina yake na ya kipekee kutokana na wingi wa vigogo wa serikali na Chama cha Mapinduzi (CCM) huku Papii akiongeza mvuto zaidi baada ya kuibuka ukumbini kama sapraizi.
https://www.youtube.com/c/KidaniStars
https://www.youtube.com/c/KidaniStars
https://www.youtube.com/c/KidaniStars
https://www.youtube.com/c/KidaniStars
https://www.youtube.com/c/KidaniStars