MZEE MWENYE WAKE 8 NA WATOTO 70: Kawajengea na shule
Sep 30, 2016
  • 316,683
  • 963
  • 184


Umeshawahi kujiuliza kama itatokea siku moja utakua na Watoto wengi kiasi kwamba itakubidi uwajengee Shule yao wenyewe sababu wako wengi na haiwezekani kuwapeleka kwenye shule nyingine sababu ziko mbali? hii imetokea Arusha