MZEE MAJUTO AWAVUNJA MBAVU WATU ALIPOTEMBELEWA NA MAGUFULI HOSPITALI
Jan 31, 2018
  • 421,336
  • 1,214
  • 208


Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt John Pombe Magufuli, amemtembelea Muigizaji maarufu wa vichekesho nchini, King Majuto, aliyelazwa katika hospitali ya Muhimbili, anayeugua ugonjwa wa tezi dume.

Baada ya kuonana na Rais Magufuli, King Majuto amempongeza rais kwa kuongoza vyema nchii hii na kuwa rais mwenye msimamo, huku akigusia suala la kutimua wafanyakazi hewa na wenye vyeti feki.

Subscribe muda huu www.youtube.com/user/uwazi1 Install #GlobalPublishersApp Android: http://bit.ly/2AAQe1d iOS: http://apple.co/2Assf4M Subscribe http://www.youtube.com/c/uwazi FACEBOOK: https://www.facebook.com/Globalpublis...
TWITTER: https://twitter.com/GlobalHabari Visit https://globalpublishers.co.tz/, Subscribe http://www.youtube.com/c/uwazi1

Kupata video nyingine za aina hii, subscribe kwenye chanell yetu kwa kubofya… http://www.youtube.com/c/uwazi1 http://www.youtube.com/c/uwazi1 http://www.youtube.com/c/uwazi1 WEBSITE: https://globalpublishers.co.tz/ FACEBOOK: https://www.facebook.com/Globalpublis... TWITTER: https://twitter.com/GlobalHabari INSTAGRAM: https://www.instagram.com/globalpubli..