Mwanafunzi CBE! Auawa Kinyama, Asukumwa Ghorofani, Chanzo Kinashangaza!
Mar 2, 2018
  • 113,707
  • 350
  • 92


Mwanafunzi CBE Auawa Kinyama, Asukumwa Ghorofani, Chanzo Kinashangaza!

WAKATI ripoti ya uchunguzi wa kipolisi juu ya mauaji ya aliyekuwa mwanafunzi wa chuo kikuu cha Taifa cha usafirishaji cha (NIT), Akwilina Bafta Akwilini (22), ikizua gomzo kila kona kufuatia siku 14 za kuchunguza kutimia leo, tukio lingine la mauaji ya kutisha dhidi ya denti mwingine wa chuo kikuu limeshtua wengi.

Wakati Akwilina yeye aliuawa kwa kupigwa risasi akiwa kwenye daladala maeneo ya Mkwajuni- Kinondoni jijini Dar, Februari 16, mwaka huu, Mwanafunzi Shija Daudi Kasuku (20) wa chuo cha kikuu cha Elimu ya Biashara (CBE), Tawi la Dar, alidaiwa kuuawa kwa kusukumwa kutoka ghorofa ya tatu hadi chini.

Install #GlobalPublishersApp
Android: http://bit.ly/2AAQe1d
iOS: http://apple.co/2Assf4M
Subscribe http://www.youtube.com/c/uwazi

FACEBOOK: https://www.facebook.com/Globalpublis... TWITTER: https://twitter.com/GlobalHabari Visit https://globalpublishers.co.tz/, Subscribe http://www.youtube.com/c/uwazi1

kupata video nyingine za aina hii, subscribe kwenye chanell yetu kwa kubofya… http://www.youtube.com/c/uwazi1 http://www.youtube.com/c/uwazi1 http://www.youtube.com/c/uwazi1 WEBSITE: https://globalpublishers.co.tz/ FACEBOOK: https://www.facebook.com/Globalpublis... TWITTER: https://twitter.com/GlobalHabari INSTAGRAM: https://www.instagram.com/globalpubli..