Mwanafunzi Atoweka Siku 30, Aonekana, Afariki
Feb 27, 2018
  • 51,288
  • 142
  • 45


Mwafunzi wa kidato cha tatu katika shule ya Sekondari Mikocheni B, Khadija Ally Masoud(15) amefariki dunia jumamosi iliyopita baada yakutoweka nyumbani kwao Mwananyamala jijini Dar mwezi mzima akitokea shuleni.

Akizungumza kwa uchungu na mwandishi wetu, mama mzazi wa mtoto huyo, Shuena Salum alisema kuwa, mtoto wake huyo alienda shuleni kama anavyofanya kila siku, lakini siku 30 zilizopita hakurejea nyumbani

Install #GlobalPublishersApp Android: http://bit.ly/2AAQe1d iOS: http://apple.co/2Assf4M Subscribe http://www.youtube.com/c/uwazi FACEBOOK: https://www.facebook.com/Globalpublis... TWITTER: https://twitter.com/GlobalHabari Visit https://globalpublishers.co.tz/, Subscribe http://www.youtube.com/c/uwazi1 kupata video nyingine za aina hii, subscribe kwenye chanell yetu kwa kubofya… http://www.youtube.com/c/uwazi1 http://www.youtube.com/c/uwazi1 http://www.youtube.com/c/uwazi1 WEBSITE: https://globalpublishers.co.tz/ FACEBOOK: https://www.facebook.com/Globalpublis... TWITTER: https://twitter.com/GlobalHabari INSTAGRAM: https://www.instagram.com/globalpubli..