Mtandao wa Wanafunzi Wamtaka Waziri Mwigulu Nchemba ajiuzulu
Feb 18, 2018
  • 90,127
  • 791
  • 102


Mwenyekiti wa Mtandao wa Wanafunzi Tanzania, Abdul Nondo amemtaka Waziri wa Mambo ya Ndani, Mwigulu Nchemba kujiuzulu kutokana kifo cha mwanafunzi wa chuo cha usafirishaji NIT. Pia kama atashindwa basi Rais amtengue.