Mchekeshaji Eric Omondi alivyovamia stage kucheza SALOME na Diamond
May 30, 2017
  • 236,146
  • 906
  • 61


Mchekeshaji staa wa Kenya Eric Omondi alikuwa mmoja wa kivutio katika Tamasha la Koroga Festival lililofanyika Nairobi Kenya May 28, 2017 baada ya kuvamia stage na kuanza kucheza wimbo wa Salome sambamba na staa wa Tanzania Diamond Platnumz ambaye alikuwa anatumbuiza akiwa na Band yake kwenye tamasha hilo.