Mange Kimambi aja na mbinu za hatari kuwavaa ASKARI kwenye maandamano
Mar 11, 2018
  • 25,408
  • 62
  • 30


Vuguvugu la MAANDAMANO lanendelea kushika kasi ambapo tarehe 26-4-2018, 3:00 Asubuhi, siku ya MUUNGANO kunatarajiwa kuwepo kwa maandamano ya AMANI. MBINU ya fire-chart ndio inatalajiwa kutumika