Maneno MAZITO ya Baba diamond baada ya kukanwa na mwanae Queen darlin.
Feb 9, 2018
  • 23,224
  • 126
  • 18


Baada ya Queen Darlin kumkana baba yake na kusema Baba yake ni Diamond Platinumz na wala si Abdul Juma, KWA UCHUNGU BABA YAKE KAIBUKA NA HAYA. SHILAWADU WALIVYO NYAPIA, Mambo ni moto.