Magoli yote matatu Yanga ikiichapa 3-0 Kagera Sugar Taifa – VPL 2017/18
Mar 9, 2018
  • 122,033
  • 338
  • 89


Yanga imeibuka na ushindi wa mabao 3-0 dhidi ya Kagera Sugar katika mchezo wa Ligi Kuu Tanzania Bara uliopigwa katika dimba la Taifa Dar es Salaam, leo 09/03/2018.

Mabao yote matatu yakifungwa na Ibrahim Ajib, Yusuf Mhilu na la kujifunga kutoka kwa Juma Shemvuni ndiyo yaliyoipa Yanga SC ushindi wa 3-0, haya hapa