Machozi ya Johari kwa Lulu... apeleka ombi kwa Baba Kanumba
Nov 15, 2017
  • 215,566
  • 759
  • 107


Baada ya Mwigizaji Elizabeth Michael Lulu kuhukumiwa miaka miwili jela November 13 2017, Mwigizaji Blandina Chagula ambae alikua Rafiki mkubwa wa Marehemu Steven Kanumba ametokwa machozi akihojiwa na AyoTV na millardayo.com