KINANA: Kiongozi Mzuri Huwasikiliza wale Anaowaongoza
Mar 27, 2017
  • 27,468
  • 163
  • 17


Sikiliza hapa Katibu Mkuu wa CCM Comrade Kinana Aliposema kwamba Kiongozi Mzuri Huwasikiliza wale Anaowaongoza. Hii ilikua ni Miezi kazaa iliyopita alipokua akichangia Mada kwenye Mdahalo.