KIMENUKA: UONGOZI WA MAGUFULI WAPONDWA ULAYA
Mar 12, 2018
  • 213,106
  • 979
  • 174


BBC wameripoti kupokea taarifa ya mashirika ya Haki za Binaadamu nchini Tanzania yanavyoupona utawala wa Rais Magufuli kukandamiza haki za binadamu, na uhuru wa habari. Msikilize Saalim Kikeke hapa