KIMENUKA HUKU: Waislam Waipinga Serikali Ya Magufuli Hadharani
Mar 4, 2018
  • 92,108
  • 453
  • 77


Wazee na viongozi wa Kiislam wailalamikia serikali ya Magufuli kuwabana Waislam katika kila eneo lao na hivyo kushindwa kufanya kazi zao vyema.

Pia wamezungumzia suala la kukosekana kwa Usawa kwa minajili ya kwamba Wakristo wanapendelewa na kubebwa sana na Serikali ya Magufuli