Juacali - SafSana (Official Video - Kenya)
Aug 28, 2016
  • 88,553
  • 850
  • 25


Artist: Juacali
Song: SafSana
Director: Calvo Mistari
Producer: Babz on the track


Juacali - SafSana Off the 4th upcoming Album - Mali Ya Umma
Produced by Babz on the Track

SAFSANA Lyrics

VERSE 1
Vile nilingia ngoma sikua najua vile itakuwa
Kitu nilikua najua tu nitawauwa
Nipe pen nipe karatasi
Mawazo zote zitoke kichwani
Tuko wengi lakini najua me niko sawa
Me ndio kusema me ndio yule mbaya
Calif yote nyuma yangu
Mpango nikuchange industry ikue kwangu
Wape ngoma tamu wasirudi nyuma
Wasanii tunawacheka wakianguka
Genge jina kubwa inasimama
Tukitembea kila mahali kila mtu anasema…..

CHORUS : SAFSANA SAFSANA SAFSANA HAPO SAWA ASANTA *2VERSE 2
Jina inajipa lakini sijaridhika
Mavijana wakona mimi/Wazee sijawashika
Pole pole tu watakubali
Pole pole wataelewa lugha ya mtaani
Nani alisema hatutatoboa
Hakuna makazi hii ndio kitu itatuokoa
Show ya bure me napiga tu
Ata wasipoinua mkono nitawaimbia tu
Hivyo hivyo hakuna kuogopa
Nauwa show ungedhani me ni show Stopper
Genge ndio hio inabaki imesimama
Baada ya show kila mtu anasema…..

CHORUS : SAFSANA SAFSANA SAFSANA HAPO SAWA ASANTA *2
VERSE 3
Ka una unasupport Genge shukran sana
Ka we ni DJ shukran sana
Ma Club zote shukran sana
Radio zote shukran sana
Watu wa Majuu shukran sana
Ma Promoter wote shukran sana
Mtaa zote shukran sana
Wewe na wewe shukran sana
TV zote shukran sana
MaGazeti zote shukran sana
Ma Corporate wote shukran sana
Bila nyinyi hatungekua hapa…

CHORUS : SAFSANA SAFSANA SAFSANA HAPO SAWA ASANTA *4