IRENE UWOYA KUMZIKA MUMEWE NDIKUMANA
Nov 15, 2017
  • 53,229
  • 135
  • 27


Hamad Ndikumana(Katauti)-39,amefikwa na mauti akiwa Nyumbani kwake Kigali,huku hakiwa haina historia yoyote ya Ugonjwa.Mpaka anafikwa na Mauti marehemu alikua ni kocha msaidizi wa Timu ya Rwanda.Ameacha mtoto mmoja ambae alizaa na Irene Uwoya ambae walitalikiana kwa maneno na sio maandishi.Rest in Peace Hamad Ndikumana