Heche Afumua Madai ya Ufisadi kwenye Passport na Vitambulisho
Feb 2, 2018
  • 8,563
  • 37
  • 3


Mbunge wa Chadema Mhe John Heche Akiongea na Kuweka Hadharani Madai ya Ufisadi kwenye Passport Mpya na Vitambulisho vya Taifa. Hata hivyo Waziri mwenye dhamana Mhe. Mwigulu Nchemba Alimjibu na Kukanusha Madai yote.

Nunua Android Smart TV Box, Tupigie: 0757 22 33 48