FRIDAY NIGHT LIVE - Vanessa Mdee afunguka kunyimwa kolabo na Jux
Feb 24, 2018
  • 16,517
  • 160
  • 5


Mwanamuziki Vanessa Mdee kupitia Mdee Music wameachilia video ya msanii wao wakiume, Brian Simba, ambapo Brian Simba, amekanusha kuwahi kumuomba Jux collaborati kwakuwa ni msanii mkubwa.