FRIDAY NIGHT LIVE - Fid Q na Godzilla wadai Wasanii wengi wa Hip Hop 'wanajitenga'
Aug 19, 2017
  • 32,902
  • 345
  • 20


Rapa Fid Q na Godzilla kwenye #FNL wameweka wazi kuwa wasanii wengi wa hip hop hawakai karibu na Wasanii wa hip Hop kitu kinacho sababisha muziki huo kukosa ushindani mkubwa kwenye game la muziki.