EXCLUSIVE: Kisiwa cha TZ tulichoambiwa ni cha Arnold Schwarzenegger
Oct 24, 2017
  • 261,857
  • 1,295
  • 123


Inawezekana na ulisikia kwamba Mwigizaji maarufu wa dunia Arnold Schwarzenegger anamiliki kisiwa kwenye Mkoa wa Rukwa Tanzania, leo AyoTV imefunga safari mpaka kwenye kisiwa chenyewe.