ENEWZ - TID awaachie 'Kiki' wakina Gigy Money na Amber Lulu
Oct 19, 2017
  • 9,707
  • 89
  • 1


Baada tu ya picha ya TID kusambaa mitandaoni akiwa kitandani na msichana, unaambiwa imezua gumzo kubwa sana na ndipo Dudu Baya alipoamuakufunguka na kuoneshwa kutopendezwa na kitendo hicho kutoka kwa boss wa Rada
Ent TID