Diamond Platnumz: Media zinazoibania WCB zinalose, mimi ni maji usipoyanywa utayaoga
Mar 13, 2018
  • 168,691
  • 1,894
  • 128


Suzette amemfuata Diamond Platnumz Nairobi, Kenya alikoenda kufanya uzinduzi wa album yake, A BOY FROM TANDALE aliyezungumzia masuala mbalimbali kuhusiana na nyimbo alizoweka ndani yake, collabo na wasanii wakiwemo Ne-Yo,Rick Ross na Omarion. Amezungumzia uwekezaji wake kwenye redio na TV (Wasafi TV/FM), kubaniwa kwa wasanii wa WCB na mambo mengine kibao