Alichozungumza Riyama Ally na Mume wake kuhusu siku ya Valentines Day
Feb 14, 2018
  • 11,513
  • 54
  • 2


Kwenye Exclusive Interview na Ayo Tv inakusogezea wapendanao siku ya leo ambao ni Riyama ambaye ni muigizaji kutokea Bongomovie pamoja na mwenzake Leo Mysterious na hivi ndivyo walivyoielezea siku ya Valentines Day.