Alichofanya Barnaba hakitasahaulika kwenye historia ya Bongo Fleva
Mar 11, 2018
  • 13,958
  • 82
  • 10


Msanii wa muziki wa Bongo Fleva ameonesha kiwango cha ajabu jana kwenye usiku wa The Vikings ambapo ni moja ya show ambazo hazijikusahaulika kwenye historia ya muziki wa Bongo Fleva.